Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya
Muheza anapenda kuwa arifu waombaji wote walioomba kazi ya Utendaji wa
Kijiji daraja la III zilizo tanganzwa tarehe 11/10/2017 kuwa usaili wa
kuandika utafanyika tarehe 24/10/2017 saa 2:30 katika Ukumbi wa chuo cha uuguzi Teule uliopo wilaya ya Muheza.Kwamaelezo zaidi
PAKUA FAILI HILI HAPO CHINI
Download attachments:
0 comments:
POST A COMMENT