NAFASI 24 ZA KAZI MTENDAJI MTAA III - HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA, TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 30 OCTOBER 2017 | VYUO NA AJIRA | Official site
Breaking News
Loading...

Friday, October 20, 2017

NAFASI 24 ZA KAZI MTENDAJI MTAA III - HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA, TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 30 OCTOBER 2017

   


NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma anawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye sifa za kuomba kazi ya Mtendaji wa mtaa daraja la III

MTENDAJI MTAA III - nafasi 24
SIFA ZA MWOMBAJI

- Awe na umri wa miaka 18 - 40
- Awe na elimu ya kidatao cha 4 au 6
- Awe amehitimu mafunzo ya astashahada katika mojawapo ya fani zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii au Sayansi ya Sanaa kutoka Hombolo, Dodoma au chuo chochote kinachotambulika na Serikali

MAJUKUMU YA KAZI
- katiibu wa kamati ya mtaa
- mtendaji mkuu wa mtaa
- mratibu wa utekelezaji wa sera zinazotekelezwa na Halmashauri katika mtaa
- mshaurei wa kamati ya mtaa kuhusu Mipmango ya Maendeleo katika mtaa
- Msimamizi wa utekelezaji wa  wa sheria ndogo zinazotekelezwa  na halmashauri  katika mtaa
- mshauri wa kamati ya mtaa kuhusu masuala ya ulinzi na usalama
- mtekelezaji wa mikakati mbalimbali  inayohusu uondoaji wa njaa na umaskini katika mtaa
- usimamizi wa ukusanyaji wa mapatao ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote
- kuandaa kutunza rejesta ya wakazi wote wa mtaa na
- atawajibika  kwa mtendaji wa kata

NGAZI YA MSHAHARA
Ngazi ya mshahara ni TGS B

msharti
maombi yaandikwe kwa mkono na kuambatanishwa na
- cheti cha kuzaliwa
- msaelezo binafsi (CV)
- nakala za vyeti vya kuhitimu elimu ya msingi, kidao cha 4 au sita cheti cha taaluma
- testimonials, provisional results slip ya kidato cha IV NA VI havutaubaliwa
- waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuhidhinishwa na mamlaka husika NECTA NA NACTE na taarifa ya uthibitisho iambatanishwe kwenye maombi

maombi yatumwe kwa

MKURUGENZI WA MANISPAA,
HALMASHAURI YA MUSOMA,
S.L.P 194,
MUSOMA

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/10/2017

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT