KITABU: ZIJUE MBINU ZA KUSHINDA USAILI WA AJIRA | VYUO NA AJIRA | Official site
Breaking News
Loading...

Monday, October 9, 2017

KITABU: ZIJUE MBINU ZA KUSHINDA USAILI WA AJIRA




Watu wengi wamekuwa wanakosa ajira wanazozihitaji  si kwa sababu tu, ya kwamba hawana uwezo wa kufanya kazi la hasha ila ni kwa sababu hawatambui mbinu za kuweza kushinda usaili huo.

Hivyo kwa kutambua thamani yako na uwezo ulionao katika kufanya kazi tumeamua kukuletea kitabu ambacho pindi utakapokisoma tuna uhakika wa asilimia zote ya kwamba utapata kazi unayoihitaji.

Kitabu hiki kimekuwa ni zawadi kwa wengi na kimekuwa kikiwasaidia watu wengi na kwa sasa wanaishi ndoto zao, pia kitabu hiki kimejaa maelezo ya kutosha kuhusiana na jinsi amabvyo utashinda usaili hatimaye kupata kazi unayohitaji.

MIONGONI MWA MADA ZILIZOPO KATIKA KITABU HIKI NI PAMOJA NA :
1.   Mbinu za kutengeneza mtandao wa ajira hatimaye kupata kazi unayoihitaji.

2.   Maana ya usaili na aina za usaili ambazo hupendwa kutumika mara kwa mara.

3.   Mambo ya kuzingatia kabla ya kuingia katika chumba za usaili.

4.   JInsi ya kuchagua rangi za nguo za kuvaa kabla ya kwenda kufanyiwa usaili.

5.   Mambo ya msingi ya kuzingatia pindi uwapo chumba cha usaili.

6.   Yajue maswali ambayo huulizwa mara kwa mara katika usaili na majibu yake.

7.   Maswali ambayo hutakiwi kuuliza wakati wa usaili.

8.   Makosa ya kuyaepuka wakati wa usaili.

9.     Mambo matatu ya kuyakumbuka mara baada ya kufanyiwa usaili.

NB; Kumbuka kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili.

NAMNA YA KUKIPATA KITABU HIKI.
Kitabu hiki kipo katika mfumo wa nakala tete ( soft copy) ambapo utatumiwa kupitia e-mail yako. Hivyo ili kuweza kupata kitabu hicho utakinunua kupitia M-Pesa Au Tigo Pesa ambapo utalipia Tsh 5000/= tu kwenda 0757-909942 au 0652-015024 (Benson Chonya).
Mara baada ya kutuma pesa Utatuma Neno “ KITABU” likifuatiwa na jina lako na email yako ambayo ndiyo itatumika kutuma kitabu hicho.

KARIBU SANA UJIPATIE NAKALA YAKO. Asante.

Change Your Dream into reality

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT