NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTWARA
Halmashauri inatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye sifa za maafisa watendaji wa vijiji kufuatia kupata kibali cha ajira Mbadala kama ifuatavyo
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III NAFASI 7
SIFA ZA MWOMBAJI
- awe amehitimu elimu ya kidato cha 4 au 6
- aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala , Sheria, Elimu ya jamii usimamizi wa fedha maendeleo ya jamii na sayansi ya jamii kutoka chuo cha Serikali za mitaa Homboro Dodoma au chochote kinacho tamblika na serikali
- awe na umri usiozidi miaka 45
KAZI/MAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJIJI
- kukusanya mapato ya Halmashauri ya kijiji
- kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
- kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji
- kuandaa tarifa za utekelezaji katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kuetekeleza mikakati ya kuuondoa umaskini na ujinga na malazi
- kiongozo wa wakuu wa vitengo vya kitaalamu katika kijiji
- kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na yaraka za kijiji
- mwenyekiti wa wataalamu wote walioko kijijini
- kupokea kusikiliza na kutatua matatizo yote na migogoro yote ya wananchi
- kusimamia utungaji wa sheria ndogo za kijiji
NGAZI YA MSHAHARA TGSB 1
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
- mwombaji awe mtanzaniana umri usizidi miaka 45
- waombaji waambatanishe cheti cha kzaliwa
- waombaji waambatanishe maelezo binafsi yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na wadhamini wawili
- maombi yaambatane na picha 2 passport size, vyeti vya taaluma, vyeti vya kidato cha 4 na 6, wale waliofikia kiwango hicho cheti cha kuhitimu mafunzo mbali mbali kwa kuzingatia sifa zinazoendana nao
- testimonials na provisional results havitakubaliwa
- waombaji wenye vyeti vya kidato ha 4 na 6 waliosoma nje wanatakiwa kuwasilisha uthibitisho wa NACTE
- waombaji waliostaafishwa Utumishi wa Umma hawataruhusiwa kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Kaibu mkuu
- mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 22 novemba 2017 saa9:30 alasiri
- maombi yatakayo wasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hayatakubaliwa
maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA,
HALMASHAURI YA WILAYA YA MTWARA,
S.L.P 528,
MTWARA