NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE
Mkurugenzi wa Halmashauriya Manispaa ya Temeke anawatangazia wananchi/watanzania wote wenye sifa zinazotakiwa kuomba kujaza nafasi ya Mtendaji wa Mtaa daraja la III kwa sifa zifuatazo inatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye sifa za maafisa watendaji wa vijiji kufuatia kupata kibali cha ajira Mbadala kama ifuatavyo
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III NAFASI 5
SIFA ZA MWOMBAJI
- awe amehitimu elimu ya kidato cha 4 au 6
- aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala , Sheria, Elimu ya jamii usimamizi wa fedha maendeleo ya jamii na sayansi ya jamii kutoka chuo cha Serikali za mitaa Homboro Dodoma au chochote kinacho tamblika na serikali
- awe na umri usiozidi miaka 45
KAZI/MAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJIJI
- kukusanya mapato ya Halmashauri ya kijiji
- kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
- kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji
- kuandaa tarifa za utekelezaji katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kuetekeleza mikakati ya kuuondoa umaskini na ujinga na malazi
- kiongozo wa wakuu wa vitengo vya kitaalamu katika kijiji
- kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na yaraka za kijiji
- mwenyekiti wa wataalamu wote walioko kijijini
- kupokea kusikiliza na kutatua matatizo yote na migogoro yote ya wananchi
- kusimamia utungaji wa sheria ndogo za kijiji
NGAZI YA MSHAHARA TGSB 1
UMRI
Waombaji wawe na umri kuanzia miaka 18 na usizizdi miaka 45
MAELEZO YA JUMLA
Waombaji wanatakiwa watume vyeti vyao halisi na halali kwani uhakiki utafanyika kaika vituo alivyopangiwa na Baraza la Mitihani udanganyifu wowote ukibainika hatua za kisheria zilizochukuliwa
maombi yatumwe kwa anuani ifuatayo
MKURUGENZI WA MANISPAA,
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE,
S.L.P 46343,
DAR ES SALAAM
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 13/11/2017 saa 9:alasili

0 comments:
POST A COMMENT