NAFASI 7 ZA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III HALMASHAURI YA WILAYA YA MTWARA, TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 22 NOVEMBER 2017 | VYUO NA AJIRA | Official site
Breaking News
Loading...

Thursday, November 9, 2017

NAFASI 7 ZA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III HALMASHAURI YA WILAYA YA MTWARA, TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 22 NOVEMBER 2017

    Related image


NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTWARA

Halmashauri inatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye sifa za maafisa watendaji wa vijiji kufuatia kupata kibali cha ajira Mbadala kama ifuatavyo

MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III NAFASI 7

SIFA ZA MWOMBAJI
- awe amehitimu elimu ya kidato cha 4 au 6
- aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala , Sheria, Elimu ya jamii usimamizi wa fedha  maendeleo ya jamii na sayansi ya jamii kutoka chuo cha Serikali za mitaa Homboro Dodoma au chochote  kinacho tamblika na serikali
- awe na umri usiozidi miaka 45

KAZI/MAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJIJI
- kukusanya mapato ya Halmashauri ya kijiji
- kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
- kuratibu na kusimamia  upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji
- kuandaa tarifa za utekelezaji katika eneo lake  na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kuetekeleza mikakati ya kuuondoa umaskini na ujinga na malazi
- kiongozo wa wakuu wa vitengo vya kitaalamu katika kijiji
- kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote  na yaraka za kijiji
- mwenyekiti wa wataalamu wote walioko kijijini
- kupokea kusikiliza na kutatua matatizo yote  na migogoro yote ya wananchi
- kusimamia utungaji wa sheria ndogo za kijiji
    NGAZI YA MSHAHARA TGSB 1

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
- mwombaji awe mtanzaniana umri usizidi miaka 45
- waombaji waambatanishe cheti cha kzaliwa
- waombaji waambatanishe maelezo binafsi yenye anuani na namba za simu  za kuaminika pamoja na wadhamini wawili
- maombi yaambatane na picha 2 passport size, vyeti vya taaluma, vyeti vya kidato cha 4 na 6, wale waliofikia kiwango  hicho cheti cha kuhitimu mafunzo mbali mbali kwa kuzingatia  sifa zinazoendana nao
- testimonials na provisional results  havitakubaliwa
- waombaji wenye vyeti vya kidato ha 4 na 6 waliosoma nje wanatakiwa kuwasilisha uthibitisho wa NACTE
- waombaji waliostaafishwa Utumishi  wa Umma hawataruhusiwa kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Kaibu mkuu
- mwisho wa kutuma maombi ni tarehe  22 novemba 2017 saa9:30 alasiri
- maombi yatakayo wasilishwa nje ya utaratibu  ulioainishwa katika tangazo hayatakubaliwa

maombi yatumwe kwa

MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA,
HALMASHAURI YA WILAYA YA MTWARA,
S.L.P 528,
MTWARA

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT