Uongozi wa Living Stone Boy's Seminary iliyopo wilayani Muheza, Tanga, inatangaza nafasi za kazi kwa walimu wenye uwezo kufundisha Advanced level kwa masomo yafuatayo;-
1. Mathematics
2. ICT.
3. Biology/Geography.
4. Physics/Mathematics.
Sifa za mwombaji.
1. Awe amehitimu chuo kikuu na kuchukua education.
2. Mwombaji awe na sifa ya kujituma na mwenye uzoefu katika kufundisha.
Maombi ya mwombaji yatumwe kwenye e-mail lsbs1784@gmail.com yakiambatishwa na vitu vifuatavyo:-
1. Application letter(Living Stone Boy's Seminary, P. O box 100, Muheza, Tanga)
2. CV
3. Personal statement.
4. Certificate of Graduation
5. O level & A level results
6. University transcript.
Kwa mawasiliano zaidi ya haraka piga simu 0628929816.
Mwisho wa maombi yote ni tarehe 18/10/2017.
MUHIMU, Nafasi za kazi zilizotolewa, zipo kama masomo yalivyotolewa na sio vinginevyo.

0 comments:
POST A COMMENT