NAFASI 25 ZA KAZI DEREVA II & MTENDAJI WA KIJIJI III HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 8 NOVEMBER 2017 | VYUO NA AJIRA | Official site
Breaking News
Loading...

Wednesday, October 25, 2017

NAFASI 25 ZA KAZI DEREVA II & MTENDAJI WA KIJIJI III HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 8 NOVEMBER 2017

 

NAFASI ZA KAZI HALAMSHAURI YA WILAYA YA CHATO 



Kumb. Na. CDC/05/20/77

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Kufuatia Halmshauri ya Wilaya ya Chato kupata kibali cha ajira Kumbu Na. FA/170/521/01/23 ya tarehe 20/10/201 kutoka kwa Katibu mkuu wa Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma kuhusu ajira mpya, Mkurugenzi anawatangazia nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa watanzania wote wenye sifa za kujaza nafasi kama zilivyo orodheshwa katika tangazo

MASHARTI YA UJUMLA KWA KAZI ZOTE
- waombaji wawe raia wa Tanzania
- waombaji waambatanishe cheti cha kuzaliwa
- waombaji ambao  tayari ni watumishi wa Umma  na wamejipatia sifa za kujiunga katika kada tofauti na walizonazo wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wajiridhishe ipasavyo
- nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha kutozingatia  kutasababisha  maombi ya kazi kuwa batili
- waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza  yenye anwani na namba za simu  za kuaminika  pamoja na majina ya wadhamini  watatju wa kuaminika
- maombi yaambatanishwe na vyeti vya taaluma na maelezo nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho na vyeti  vya kuhitimu  mafunzo mbali mbali  kwa kuzingatia  kazi husika viambatanisho vinabanwe sawasa kuondoa  uwezekano wa kudondoka au kupotea. picha moja ya passport size ya hivi karibuni AIANDIKWE JINA KWA NYUMA
 TESTMONIALLS, PROVISIONAL RESULTS STATEMENT HATI ZA MATOKEO ZA KIDATO CHA 4 NA 6 HAVITAKUBALIWA
- waombaji waliosoma nje ya Tanzania  wakahakiki vyeti vyao TCU NA NACTE
- waombaji waliostaafishwa kazini Utumishi hawarusiwi kuomba isipokuwa kwa kibali cha katibu mkuu
- waombaji ambao tayari ni waajiriwa  katika nafasi za kuingiliana walioko Uttumishi wa Umma wasiombe  na wanatakiwa kuzingatia maelekezo waliyoyapata katika waraka  Na. CAC.45/257/01/d/140 wa tarehe November 2010
- uwasilishaji wa taarifa na  sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
- mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 8 November 2017
- maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya kiswahili au kingereza na yawasilishwe kwa mkono au kwa posta kupitia anuani hapo chini

Mtendaji wa Kijiji III (Village Executive) Nafasi mbili 19

A. SIFA ZA WAOMBAJI

Waombaji wawe na Elimu ya Kidato cha Nne au cha sita namafunzo ya Astashahada au chetl katika moja ya fani zifutazo:-
•Utawala
•Sheria
•Elimu ya .Jamil
•Usimamizi wa Fedha
•Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Jamii kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

B. KAZI NAMAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJJJI III
•Kuratibu na kueirnarnia upanqa]! wa mipango ya maerideteo ya Kijiji.
•Kusimamia ulinzi na Usalarna wa Raia na mali zao
•Kukusanya mapato ya Halmashauri ya Kijiji
•Kusimamia, kukusanya kUhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za ViJiji
•Katibu wa Mikutano ya Halmashauri ya Kijiji
•Kuslmarnia utungaji wa sheria ndogo za Vijiji
•Afisa Masuuttrra MtendaJi Mkuu wa Serikali ya Kijiji
•Kupokea kusikiliza na kutatua rnatatarniko na migogoro ya wananchi
- mwenye kiti wa kikao cha  wataalamu waliopo kijijini
- kupokea, kusikiliza,  na kutatua kero  na malalamiko ya wanakijiji
- kusimamia utungaji wa sheria ndogo za kijiji
- atawajibika kwa Mtendaji kata

C.MSHAHARA
•Ngazi ya mshahara itaanzia TGS B yaani Tshs. 390,000/= kwa -mwezi.

DEREVA DARAJA LA II  – NAFASI 6
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
I. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari,
II. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi,
III. Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari,
IV. Kukusafanya na kusambaza nyaraka mbalimbali,
V. Kujanza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari,
VI. Kufanya usafi wa gari,
VII. Kufanya kazi zingine kadri atakavyoelekezwa na msimamizi wake

Sifa za mwombaji
- Kuajiriwa mwenye cheti cha kidato cha nne (Form IV)
- mwenye Leseni ya Daraja la C ya uendeshaji Magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali.
- mwenye cheti cha majaribio ya ufundi  daraja la II

MSHAHARA
kwa kuzingatia ngazi ya mshahara Serikalini TGOS A

barua zitumwe kwa

MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO,
S.L.P 116,
CHAO-GEITA

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT